Tangazo la kazi: Anahitajika Afisa Masoko na Mauzo (marketing & sales) - Mwanza au Dar es Salaam

Masasati

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3
Reaction score
3
Hello! Wana JF.
Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.

 
Tunajali usawa wa kijinsia lakini wanawake watapewa kipaumbelešŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…