MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NYARAKA) NAFASI 50
hapo juu ni title ya kazi lakini sijaelewa hiki ni cheo gani ( msaidizi wa kumbukumbu),
alafu mbna kazi zenyewe hazioneshi ni office gani au idara gani au wizara gani?
1.Uzi huu ulipaswa uuandike kwenye nafasi za kazi na tenda kule sio hapa kwenye utambulisho. 2.Hizo nafasi kule juu wameandika ni taasisi au idara gani zinaajiri tuliza akili soma kwa makini utajua hao watu wa Records wanahitajika wapi.Hata kusoma tangazo tu unashindwa Mamii.Ukifanikiwa leta mrejesho