Kuna tangazo limetolewa na gazeti la leo kuhusu kazi kwenye independent government agency lakini jina limefichwa na sketchy details zimetolewa kuhusu hilo tangazo. Swali langu nini nia na madhumuni ya kuficha jina la huyo potential employer? je, dno style za kibongo bongo? naomba kueleweshwa.[Source: The Guardian dated 07/14/09]