Mzee sikuhizi kuna human resource agents anbao hufanyakazi ya kutafuta watu wanaofaa kwa kazi na wao kulipwa na kampuni husika,hivyo akikupa jina la kampuni siunaweza ukaaply mwenyewe.makampuni hayo ni kama rader recruitments,rupia,prospect africa na mengi mengineyo.
hi all,
is there anyone who can help with the format of salary increment. am a recent employee and i never come across with it before.
Msaada kwenye tuta
hi all,
is there anyone who can help with the format of salary increment. am a recent employee and i never come across with it before.
Msaada kwenye tuta
Kuna tangazo limetolewa na gazeti la leo kuhusu kazi kwenye independent government agency lakini jina limefichwa na sketchy details zimetolewa kuhusu hilo tangazo. Swali langu nini nia na madhumuni ya kuficha jina la huyo potential employer? je, dno style za kibongo bongo? naomba kueleweshwa.[Source: The Guardian dated 07/14/09][/QUOTe
Kama wanatumia employment agents sio sababu ya kutoweka la employer kwani unaweza juweka jina na employment process bado ikafanywa na employment agent
Kuna tangazo limetolewa na gazeti la leo kuhusu kazi kwenye independent government agency lakini jina limefichwa na sketchy details zimetolewa kuhusu hilo tangazo. Swali langu nini nia na madhumuni ya kuficha jina la huyo potential employer? je, dno style za kibongo bongo? naomba kueleweshwa.[Source: The Guardian dated 07/14/09]