Wana JF nawaomba aliye na tangazo la kazi zilizzotangazwa na wizara ya mifugo kwenywe gazeti la dailynews la tar 18 11 2011 aniamie nashida ya kuaply kazi hizo,au mwenye kuwa nalo anitumie private kwa kutumia JF sms nitampigia anijuze.

Wahi ku_apply kwa kuwa muda unaisha. Nafasi zilizotangazwa ni Daktari Utafiti Mifugo II kufanya kazi kwenye vituo vya itafiti (nafasi 5), Daktari Mifugo II kufanya kazi MC, TC, DC, RAS na VIC (nafasi 47), Daktari Mkufunzi Mifugo II kufundisha LITIs (nafasi 5), Afisa Mifugo II kufanya kazi DC, RAS na Ranch (nafasi 128), Afisa Utafiti Mifugo II (nafasi 2).