ok mkuu. Uko mkoa gani?
ngazi ipi sasa, certificates, diploma au degree
jifunza namna ya kuandika advt za kazi kwani hata house girl anaweza kusimamia matumizi ya hela ya chumvi na mboga soooo ni mhasibu wa nyumbani
Hiki kikampuni chako kiko wapi? Anuani haitaji chochote.TANGAZO LA KAZI
Tunahitaji vijana wawili tu wenye sifa zifuatazo;Tuwasiliane kwa njia zifuatazo;
- Awe muaminifu
- Awe mchapa kazi
- Awe na ujuzi wa fani ya usimamizi wa biashara au fani ya Uhasibu.
AUGUSTER COMPANY (T) LTD
P.O.BOX 38588
TEL: 0762490080
E-mail:macheye@live.com
ahsante kwa nafasi mkuu.
[size=4 said:jambojema[/size];2543091]hiki kikampuni chako kiko wapi? Anuani haitaji chochote.
Shukran kwa taarifa.
jambo jema. Mkuu asante kwa mtazamo wako wa kubeza, japo kuwa kweli kuna makosa ya kusahau anuani.
Mkuu. Tupo dar es salaam tanzania.
Nb ila kwa mwenye shida ya dhati ya kazi tajwa anakaribishwa kutuma maombi mpaka 26/09/2011.
ASANTE