kapale323
Senior Member
- Apr 29, 2013
- 119
- 59
Wanahitajika vijana 30 watakaokuwa tayari kufanya kazi ndani na nje ya Dar. Sifa za mwombaji awe na div 5 na kuendelea, wenye vyeti vya Bongo Movie na Bongo Flavor watapewa kipaumbele. Tuma maombi yako kwenda elimuyabongo_usaniimtupu@tumekerwa.com