Tangazo la kuhamasisha kunawa mikono

Tangazo la kuhamasisha kunawa mikono

Ntambaswala

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
255
Reaction score
78
Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa.

Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
 
we umezoeamatangazo ya bia na kondomu ndo maana
 
heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!
 
Back
Top Bottom