N Ntambaswala JF-Expert Member Joined Dec 7, 2008 Posts 255 Reaction score 78 Apr 10, 2011 #1 Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa. Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa. Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Apr 10, 2011 #2 we umezoeamatangazo ya bia na kondomu ndo maana
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Apr 10, 2011 #3 heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!
heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!