Am sorry kwa wale wanaotumia simu nimeshindwa kuliweka wazi but najua atajitokeza mtu ataliweka vizuri ili wote tulione tena hawajatoa majina wamecategorize kwa walio na shahada ya kwanza,diploma,kidato cha sita na nne kila category ina siku yake ya usaili.
aaaah kudadadeki lazima nitinge tena kuna pepa yaani ajajajajajajaaaa! Ckosii nimemis paper ile mbaya. Zaidi nimemis kudesa...ntadesa hyo tarehe 7 mpaka kieleweke.....hahahaaaa bongo kaazi kweli kweli.