Tangazo la m pesa ni aibu!

Beso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
216
Reaction score
59
Wadau kuna tangazo la m pesa linalorushwa redioni ambalo hujaribu kuonyesha binti wa kichanga akijibizana maneno na kijana wa kigosi(kisambaa) hivi kweli ile ni lafudhi ya kisambaa au kipemba?MTAZAMO,tuwe makini kwenye biashara na kuacha ubabaishaji,tuwape kazi wenye kuzijua!
 
Kenge wewe,kimekuuma nini,ebu tuachie vodacom yetu.
 

mdau we msambaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…