Tangazo la mafunzo ya zimamoto, je ni la kweli au utapeli?

Tangazo la mafunzo ya zimamoto, je ni la kweli au utapeli?

Mercenary Army

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
276
Reaction score
641
Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli? [emoji116][emoji116][emoji116]

IMG-20210607-WA0001.jpg
 
Kuna mtu katuma hayo Maombi ghafla anapigiwa simu anaambiwa atume ela kwenye Namba Simu elf 20,000 kwa ajili ya kupata fomu jamaa akashtuka Kama hawa ni wezi.
 
Yaani jeshi litumie gmail.com wakati kuna tanpol??
Nafikiri ni muda muafaka polisi cyber unit, kufanya yao.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaani jeshi litumie gmail.com wakati kuna tanpol??
Nafikiri ni muda muafaka polisi cyber unit, kufanya yao.

Everyday is Saturday............................... 😎
,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu katuma hayo Maombi ghafla anapigiwa simu anaambiwa atume ela kwenye Namba Simu elf 20,000 kwa ajili ya kupata fomu jamaa akashtuka Kama hawa ni wezi .
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishtuka mapema sana asee
 
Mwombaji awe tayari kuhudhuri, badala ya kuhudhuria Spelling errors kama hizi nakuambia ndugu yangu hapo hakuna kazi 💯 %
 
Back
Top Bottom