Tangazo la mkuu wa mkoa mtwara 19April 2014 lilizungumzia shule zipi?

MCNGAPORE

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Mheshimiwa alitangaza shule mbili kwa ajili ya wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati ili kuzalisha wanafunzi watakao jiunga na vyuo vikuu kusomea maswala ya gesi na mafuta, shule hizo ni zipi kwa majina?, na wameanza kupokea wanafunzi?. naomba anayejua anifahamishe tujenge elimu kupitia jamiiforums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…