Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Its a shame wanauza kipindi hiki sina hela. Nilikuwa nayahitaji sana kwa ajili ya kujengea slab kwenye kibanda changu cha ghorofa.Kuna chuma cha pua TRC. Mataruma kujengea choo/ karo ni mkataba
TRC ni reli ya kati Mheshimiwa. Ni tofauti na hiyo ya TAZARA inayopatikana huko Nyanda za Juu Kusini.TRC muweke vituo vya kukatia tiketi nyanda za juu kusini.Mfumo wenu hauleweki.
TRC ilikuwa na ofisi kila mkoa.Kuweka ajent wa tiketi hakuna uhusiano na Tazara.Utoke iringa,Mbeya, Njombe nk af ufike Dodoma ndio ukate tiketi ?TRC ni reli ya kati Mheshimiwa. Ni tofauti na hiyo ya TAZARA inayopatikana huko Nyanda za Juu Kusini.
TRC ilikuwa na ofisi kila mkoa.Kuweka ajent wa tiketi hakuna uhusiano na Tazara.Utoke iringa,Mbeya, Njombe nk af ufike Dodoma ndio ukate tiketi ?