Tangazo la mwisho kwa anayetaka kuanzisha biashara ya vinywaji

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Jamani wana jf ningependa kutangaza kwa mara ya mwisho kwa anayetegemea kuanzisha biashara ya Vinywaji kama Grocery,utapata kila kitu kwa 1.5mil only..

Hii inajumuisha Freezer, spika 2 za mziki, makret 5 ya bia pamoja na bia zake, viti ninavyo vya plastic12, meza za plastic zile ndogo 4 na kubwa saizi ya kati 2, kuna wine za st.Anna chupa 5, Dompo chupa 2, Konyagi kubwa chupa 3 ndogo chupa 5, Heineken, Grand malt zipo kama 12,Bavaria, viroba vya Konyagi, Valeur,Original, Kreti moja la soda tupu, Windhock zipo kama 5 hivi, Soda take away,Savana chupa kama 5 hivi, Maji ya Kilimanjaro na Uhai etc..

Nategemea kuacha biashara hii kutokana na kukosa muda wa kusimamia nataka nifanye biashara nyingine ndo mana nimeamua kuuza vitu vyangu kama vilivyo..

Kama kweli unahitaji, nipigie nipo Kinondoni tufanye biashara, na ukiwa na pesa tunafanya makabidhiano hapohapo unaondoka na vitu vyako. Nipigie namba 0776-880270 ntakusikiliza.
 
Biashara hizi ndizo zinazochomwa moto Zenji na maduka yake kwani sio ustaarabu wetu.
 
Hili tangazo ni wale tu walioserious tu. Wewe kama halikuhusu basi fanya kupita tu.
 
Poa mkuu,ngoja niwasiliane na mdau wangu alieopo dar tufanye biashara


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…