TANGAZO LA NAFASI yA KAZI

Byendangwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
871
Reaction score
56
Anatakiwa mtu mwenye kujituma kwa kazi ya Meneja wa shamba (Farm Manager). Shamba husika liko Segerea jijini Dar-es-salaam. Shamba hilo pamoja na mambo mengine linalo ng"ombe wa maziwa wapatoa arobaini; kuku wa mayai elfu moja; mashine ya kutotoa vifaranga; bwawa la kufugia samaki na ndege wengineo.

Mtu anayetakiwa kwa kazi hiyo awe amesomea elimu ya mifugo (vertenary science) kwa angalau ngazi ya cheti na pia awe na uzoefu wa kazi hiyo. Mshahara mzuri na marupurupu mengineyo yatatolewa kwa kadri ya elimu na uzoefu wa mhusika.
Maombi pamoja na nakala za vyeti (soft copy) yatumwe kupitia e-mail;
mrmushobozi@yahoo.com
 
Ni kweli wenye uhitaji wa hiyo nafasi ni wengi nami pia nikiwepo tatizo nipo kijijini na hakuna cafe nina cheti kizur na nimekuwa mzoefu kwa muda labda nitoe mawasiliano yangu tuwasiliana by phone
 
Mimi nikotayari kuifanya kaz yako but ikiwezekana tuwasiliane!
 
Mkuu naomba unipm ili nije kufanya hiyo kazi ninaiweza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…