Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati
Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo la awali lililotolewa tarehe 20 Aprili,2022.