E EPORA Member Joined Apr 8, 2012 Posts 83 Reaction score 16 Apr 9, 2013 #1 Habari jf, Wakuu naombeni msaada wa mtu kama anaweza kuliweka lote hapa nitashukuru kwani muda unaisha,nimejitahidi kufungua ila access ninayotumia haifanikiwi,naombeni msaada, Nawasilisha.
Habari jf, Wakuu naombeni msaada wa mtu kama anaweza kuliweka lote hapa nitashukuru kwani muda unaisha,nimejitahidi kufungua ila access ninayotumia haifanikiwi,naombeni msaada, Nawasilisha.
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,406 Apr 9, 2013 #2 ulipata division ngapi??? na points ngapi?