Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball.

Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.

Wamezingu sana, wangeweka na ka clip wanampiga uto
 
Wapigwe tu ili wakirudi makwao wamkumbushe mfalme wao atimize ahadi ya kujanga uwanja Dodoma
Dodoma uwanja mkubwa wa mpira siyo kipaumbele bali ofisi za serikali, nyumba za watumishi na miundombinu. Huo uwanja nashauri ujengwe Bunju.
 
Back
Top Bottom