Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah! CCM wametufikisha pagumu!Siku hizi kufungua hivi visinema inabidi ukague bundle, vinginevyo unapotea JF mpaka siku ya pili au tatu!.
Mkuu asante kwa kukumbushana tuache tupunguze.Siku hizi kufungua hivi visinema inabidi ukague bundle, vinginevyo unapotea JF mpaka siku ya pili au tatu!.
Nilidhani ungesema JPM!Dah! CCM wametufikisha pagumu!
Tumeanza lini kupangiana cha kupost??Nilidhani ungesema JPM!
Wamezingu sana, wangeweka na ka clip wanampiga utoNimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball.
Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
Wameamua kutoa Support kwa Simba katika Utangazaji wa Utalii Tanzania.Aisee I like them..we are waiting for them eagerly
Ila mahusiano pia ya kidiplomasia kati ya nchi yao na yetu yako vizuri...Wameamua kutoa Support kwa Simba katika Utangazaji wa Utalii Tanzania.
Hili halijatokea from Vaccum...Imetokana na mahusiono bora kati ya Raja na Simba.
Wapigwe tu ili wakirudi makwao wamkumbushe mfalme wao atimize ahadi ya kujanga uwanja DodomaIla mahusiano pia ya kidiplomasia kati ya nchi yao na yetu yako vizuri...
Hilo nalo litizamwe...maana ahadi ina miaka 5 sasa na usheeWapigwe tu ili wakirudi makwao wamkumbushe mfalme wao atimize ahadi ya kujanga uwanja Dodoma
Dodoma uwanja mkubwa wa mpira siyo kipaumbele bali ofisi za serikali, nyumba za watumishi na miundombinu. Huo uwanja nashauri ujengwe Bunju.Wapigwe tu ili wakirudi makwao wamkumbushe mfalme wao atimize ahadi ya kujanga uwanja Dodoma
Wana khasiri watu 🤣Dah! CCM wametufikisha pagumu!