Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Hakika, Mpira sio uaduiWameamua kutoa Support kwa Simba katika Utangazaji wa Utalii Tanzania.
Hili halijatokea from Vaccum...Imetokana na mahusiono bora kati ya Raja na Simba.
Hahahahahaa waambie starlink wanakujaWana khasiri watu 🤣
Hakika, watoke hata mbili tatuHii inapendeza, Basi Kwa ustaarabu huu Mnyama asiwafunge Mengi....!
Hahahahaha ndo yule Mfalme blazamen??Hilo nalo litizamwe...maana ahadi ina miaka 5 sasa na ushee
Dah ahadi ni deni, itabidi Simba wagome kucheza hadi jamaa wajikomiti lini watatimiza ahadi yetuWapigwe tu ili wakirudi makwao wamkumbushe mfalme wao atimize ahadi ya kujanga uwanja Dodoma
Eee huyo huyo hahahahHahahahaha ndo yule Mfalme blazamen??
Tayari Uzi umebadirishwa. Ndio vijana wa Kitanzania hawa. Tutafika tumepinda migongoWamezingu sana, wangeweka na ka clip wanampiga uto
Jipe moyoWameamua kutoa Support kwa Simba katika Utangazaji wa Utalii Tanzania.
Hili halijatokea from Vaccum...Imetokana na mahusiono bora kati ya Raja na Simba.
Hii inapendeza, Basi Kwa ustaarabu huu Mnyama asiwafunge Mengi....!
Me hua vinaniponzaga sana nshaachaga kuvitizama nasoma comment tu Kisha najua kinaendelea nn🤣🤣Siku hizi kufungua hivi visinema inabidi ukague bundle, vinginevyo unapotea JF mpaka siku ya pili au tatu!.