Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 392
- 284
Tupe na sauti yakeNipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)
Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)
(Tilititititi eeeeeh! tilititititi komoaa!)x2
Titititititi tiii tiii tiii tiii tii, titititititi tiii tiii tiii titii
Komoaa.
Au ya mafuta ya Jambo. Jambo kubwa kubwa, Jambo katikati na Jambo dogo dogo.Weka na revola ya IPP
Umesahau vyombo niosheNipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)
Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)
(Tilititititi eeeeeh! tilititititi komoaa!)x2
Titititititi tiii tiii tiii tiii tii, titititititi tiii tiii tiii titii
Komoaa.
Ombo yenye powerfoam toka KenyaAu ya mafuta ya Jambo. Jambo kubwa kubwa, Jambo katikati na Jambo dogo dogo.
Pia kulikuwa na Tangazo la KIWI linaitwa "META META"
Uhenga huooooooooo
Mkuu Una undugu na Yule "unaijua viete wewe?"🤣🤣🤣Tangazo moja ya Revola ilikuwa na mrembo Miriam Odemba anaoshanmguu lani hivi sio wa kibantu, umekoamaa😁😎eeeh ilikuwa tangazo flani iv ya kimamtoni... Unapajua mamtoni wewe!? 😎