tangazo la Semina ya biashara na ujasiriamali

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Elisha Chuma ameandaa mpango kabambe wa ushauri wa biashara kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa na wale wanaotaka kuanzisha biashara ili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wakubwa na wenye mafanikio. Mtu atakakayejiunga na mpango huu atapewa mbinu za hali ya juu za biashara na uwekezaji ambazo zitamuwezesha kuinuka kiuchumi na kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa haraka. Mtu yeyote anaweza kujiunga na mpango huu ambao mkataba wake utakuwa ni wa mwaka mmoja mmoja ambao unaweza kurudiwa tena.Kwa nini Elisha? Elimu ya biashara anayoitoa haipatikani sana hapa nchini japo mfumo wake wengi wanautumia. Kitabu chake cha Siri za kushinda katika biashara kupitia branding, kimewainua wajasiriamali wengi .

Manufaa ya kujiunga na mpango huu;

Utapewa mbinu za hali ya juu za biashara na uwekezaji ambazo zitakuwezesha kuinuka kiuchumi na kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa haraka.

Utajiunga na mafunzo maalum ya ujasiriamali kwa email kipindi chote utakachokuwa umelipia michango.

Utapata ushauri kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kulipia gharama yoyote na unaweza kumpigia simu mshauri wakati wowote na kupatiwa ushauri.

Utapata ushauri wa kisaikolojia na matatizo ya mahusiano na maisha yanayokukabili.

Gharama ya mpango huu ni Sh. 50,000.00 Elfu Hamsini tu kwa Mwaka, Malipo yake sio lazima kwa pamoja unaweza kulipa kwa awamu pia. Ili kuomba kujiunga na mpango huu piga simu namba 0684 047323 au tuma email elishachuma@gmail.com

Nimeamua kutoa bei ndogo kutokana na maombi ya wadau wengi kuutaka mpango huu kwa gharama ambazo wanaweza kuzimudu.

unaweza kupitia blogu kwa matoleo mengine ya ujasiriamali na biashara karibu sana
(bofya hapa Elisha Chuma)

Elisha Chuma
MSHAURI WA BIASHARA
 
Kitu kizuri ila mbona hamna pa kubofya???
 
Mkuu kwenye Red hapo,
 
Haraka sio siku 1 au 2 au mwezi semina yenyewe ni ya mwaka mzima sio miezi au siku mkuu hapo maana yake ni kwamba,unaweza kuwa mfanyabiashara wa kawaida siku zote za maisha ya biashara yako lakini kwa elimu utakayoipata kwa muda wote huo itakufungua na itakuhamisha kutoka ulipo hadi kuwa mkubwa.Asante
 
Wenzio wakina chriss mosby wanatoa semina bure wewe unataka pesa!kwahiyo mtu asiye na kiwango hicho cha pesa na anataka kua mjasiriamali alie tu
 
Back
Top Bottom