Tangazo la skolashipu zilizotolewa na serikali ya indonesia kwa tanzania kwa mwaka 2014/2015

Tangazo la skolashipu zilizotolewa na serikali ya indonesia kwa tanzania kwa mwaka 2014/2015

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]TANGAZO LA SKOLASHIPU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA INDONESIA KWA TANZANI
A KWA MWAKA 2014/2015
[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD] Serikali ya Tanzania imepokea mwaliko wa Skolashipu kutoka kwa Serikali ya Indonesia kwa mwaka 2014/2015. Skolashipu hizo ni kwa kipindi cha kati ya miezi sita na/au mwaka mmoja.

Wadau wote, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wenye sifa wanashauriwa wasome mwongozo na wajaze fomu za maombi zinazopatikana kwenye Mtandao wa Serikali ya INDONESIA ufuatao ”http://darmasiswa.kemdiknas.go.id ”

Fomu za maombi zilizokamilika kujazwa pamoja na viambatisho vilivyoainishwa ziwasilishwe kwenye Ubalozi wa Indonesia hapa Tanzania kabla ya tarehe 24/01/2014.

Katibu Mkuu,
Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
S. L. P 9121,
DAR ES SALAAM:becky:
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu niliziona ktk website ya wizara ya elimu lakin iyo link waloweka haifunguki.
Hata iyo link uloiweka ww pia haifunguki.Tusaidiane ww umefanikiwa kuifungua?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom