Mullykim Member Joined Sep 19, 2011 Posts 18 Reaction score 12 Jun 5, 2024 #1 Hivi unakumbuka tangazo la TUsker klager, aliimba TID, linaongelea kuhusu "Twende Pamoja ni wakati wetu" Ni kama hili, ingawa hili ni la Kenye wamefanya kwa Kiingereza. View: https://www.youtube.com/watch?v=gJl_q_Twt34 Kama mtu anajua pa kulipata em tusaidie kuweka link. Asante
Hivi unakumbuka tangazo la TUsker klager, aliimba TID, linaongelea kuhusu "Twende Pamoja ni wakati wetu" Ni kama hili, ingawa hili ni la Kenye wamefanya kwa Kiingereza. View: https://www.youtube.com/watch?v=gJl_q_Twt34 Kama mtu anajua pa kulipata em tusaidie kuweka link. Asante