Tangazo la tigo wamefika singida silipendi

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
677
Kila nikiingia jamiforums nakutama na hili tangazo limaziba screen kwamba tigo wamefika singida......Silipemdi mpaka basi
 
Vumilia tu mkuu kama umeleta huku chit chat.




Peleka jukwaa la malalamiko kule
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Una beef na wanyaturu nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatimae umeanzisha nawewe nyuz

haya bhana uhuru wa manyani huu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Una beef na wanyaturu nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Itakuwa Mademu wa huko walimpiga ' dochi ' ( walimtosa ) kumpa Mbunye zao zilizotukuka kwa uzuri, ubora na utamu.
 
Kwa hiyo hutaki wanyaturu nao wafaidi tigo? Mnataka tigo mpewe ninyi tu wa daslam? Ngoja wenzio na wakajaze kisha wajazwe.
 
Wasingeiweka kwenye mfumo wa pop_up, baadhi ya browsers linakuwa kero linapo over lap home screen,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…