LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki.
Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko yanayoweza kuathiri zoezi la sensa ambalo ni muhimu sana Kwa Maendeleo ya taifa.
Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko yanayoweza kuathiri zoezi la sensa ambalo ni muhimu sana Kwa Maendeleo ya taifa.