Duh dundu duh, ee bana ee.......
Sasa wamekuja na Mama Yekuye anamtafuta mumewe kapotelea mjini masika tatu. Inavutia, inafurahisha na mwisho unajikuta unacheka peke yako!
Hivi nani huwa ana-tengeneza hadithi za za matangazo ya tiGO?
Binafsi namwona kama SI Unit ya Telecomm Marketers Tanzania!