Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 745 Aug 15, 2009 #1 Yaani Hata sielewi nifanyeje katika hili? Nimemtuma binti yangu dukani,nikampa Elfu kumi!Amerudishiwa change ameikataa eti;HADANGANYIKIII,...!!
Yaani Hata sielewi nifanyeje katika hili? Nimemtuma binti yangu dukani,nikampa Elfu kumi!Amerudishiwa change ameikataa eti;HADANGANYIKIII,...!!
B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,832 Reaction score 2,390 Aug 15, 2009 #2 Duh kweli kuna kazi hapo. Sijui ana umri gani maana km ni mkubwa angekuja kuna pesa atarudishiwa na kama ni mdogo saana basi neno hadanganyiki amewahi mno kulitumia. Inabidi kama kuna change uwe unamwambia atarudishiwa change
Duh kweli kuna kazi hapo. Sijui ana umri gani maana km ni mkubwa angekuja kuna pesa atarudishiwa na kama ni mdogo saana basi neno hadanganyiki amewahi mno kulitumia. Inabidi kama kuna change uwe unamwambia atarudishiwa change