Tangazo, Msikiti wa Masjid Mum: Vijana wa chuo wanahitaji wanawake wa kuoa

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
398
Reaction score
469
Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza.

Tangazo hilo hapo,linakuhusu wewe,Mimi na yuleeeee....tuhabarishane ili hawa wahusika wasiozee kwa wazazi wao.

Ishaallah
IMG_20180507_175247.jpg
 
Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza.

Tangazo hilo hapo,linakuhusu wewe,Mimi na yuleeeee....tuhabarishane ili hawa wahusika wasiozee kwa wazazi wao.

IshaallahView attachment 769269
OK Inshallah Allah awape kila lenye kheri.
 
Upo Wapi huo msikiti niende?hakuna no ya simu kama dar kesho naenda chagua mmoja tena muhasibu mwenzangu
 
insha allah.ila tangazo hili halikutakiwa litumwe huku.waliotangaziwa hapa wapo chuon.nazipo sababu maalum zakutafutwa walioko chuon.
 
Kwani walioko chuoni hawamo humu mkuu?
 
Back
Top Bottom