OK Inshallah Allah awape kila lenye kheri.Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza.
Tangazo hilo hapo,linakuhusu wewe,Mimi na yuleeeee....tuhabarishane ili hawa wahusika wasiozee kwa wazazi wao.
IshaallahView attachment 769269
mbona hizo namba hazipokelewi?
Ahahaa poa ngoja nijaribuUmencheksha Sana jaribu kutuma msg
Ila hawa sio wale waislam wa vipedo ?Upo Wapi huo msikiti niende?hakuna no ya simu kama dar kesho naenda chagua mmoja tena muhasibu mwenzangu
We ni me au ke..........Upo Wapi huo msikiti niende?hakuna no ya simu kama dar kesho naenda chagua mmoja tena muhasibu mwenzangu
Ila hawa sio wale waislam wa vipedo ?
kwani tangazo linasemaje?We ni me au ke..........
Kwani walioko chuoni hawamo humu mkuu?insha allah.ila tangazo hili halikutakiwa litumwe huku.waliotangaziwa hapa wapo chuon.nazipo sababu maalum zakutafutwa walioko chuon.
Tafadhali jibu swali kwanza ndugu......Twende ila itabidi tuvimodify vimodo vyao
kwani tangazo linasemaje?