fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 63 Feb 8, 2017 #1 mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI *ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane
mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI *ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane