Tunafurahi kuwatangazia Walimu Wastaafu wote katika Mkoa wa Shinyanga kujiunga na "Umoja wa Walimu Wastaafu_Shinyanga.
Upatapo taarifa hii, mjulishe Mwalimu Mstaafu aliye Jirani yako.
Kwa maelezo na maelekezo piga simu namba:
(1) 0674 164 705
(2) 0757 486 861
(3) 0786 744 184
KARIBU SANA.