Habari za majukum, wana jf............ natafuta mwalimu (SEKONDARI) wa kutoka halimashauri ya njombe mji au makambako wa kubadirishana nae kituo cha kazi, aje mkoani MBEYA katika wilaya ya RUNGWE.... Kwa aliye tayari au ana tarifa za mwingine juu ya hili naomba tuwasiliane kwa namba : 0753210877 au 0712765157 Asantee