Elections 2010 Tangazo: Rais dr slaa ndani ya moro saa 8 mchana wa leo

Tonge

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
695
Reaction score
12
Leo ndio leo, moro patawaka moto wakati rais dr slaa atakapo kuja kuhutubia wananchi wake pale kwenye uwanja wa fire uliopo masika kuanzia saa 8 mchana.njooni mumuone rais sio msanii.

Aksanteni sana.

Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Hivi Dr. ameshaenda Zanzibar na Pemba????? Au huko hatoenda kufanya kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…