Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Siasa zinagusa maisha ya kila mwananchi, kama hutaki watu wajadili siasa maana yake hutaki watu wajue mustakabali wa taifa lao, hutaki watu wapige kura, hutaki watu wajue maendeleo ya nchi yao.Taifa la vijana kutwa wanaongelea siasa ni taifa la wavivu..Tafuta kazi ya kufanya.
Peleka ujinga wako mbele hukoSiasa zinagusa maisha ya kila mwananchi, kama hutaki watu wajadili siasa maana yake hutaki watu wajue mustakabali wa taifa lao, hutaki watu wapige kura, hutaki watu wajue maendeleo ya nchi yao.
Wewe ni mfu unayetembea.
Ukizidiwa hoja kama maccm wengine lazima povu limwagike.Peleka ujinga wako mbele huko
adriz Malaria 2 kumbe report ya MUISLAMU KULESHI SHEIKH CHANDE IMESHATOKA AMTUJUZIBila shaka tangazo lipo mahala pake, hili ni tangazo kwa members wote wa JF,
Bila kubagua mtu hata nyie wapiga nyeto akina Mbaga Jr uko m.m.u munatangaziwa kuwa tokeni huko kwenye majukwaa yenu pendwa,
Na tukutane pale jukwaa la siasa kwa ajili ya kupokea ripoti ya sheikh chande,
Jamani siasa inagusa maisha ya kila mtu, kwa hiyo acha kujifanya hauhusiki kwenye jambo linalokuhusu.
Kwa hiyo mtu akiwa kinyume cha chama chako , unamuona mjing basi hata sisi tunakuona mjingaUkizidiwa hoja kama maccm wengine lazima povu limwagike.
Unajitambua kweli wewe, unakataza watu wasijadili siasa, unataka wajadili nini? Huko Tanga kwenu mnajadili tunguli unataka wote tujadili huo ujinga?
Unakataza vipi wayu kufuatilia mambo yanayogusa maisha yao? Hukwo ni kunyima watu haki yao ya msingi, kama unajitambua usirudie kuandika ujinga namna hii!!Kwa hiyo mtu akiwa kinyume cha chama chako , unamuona mjing basi hata sisi tunakuona mjinga
Nan kaanzisha vurugu so ulitaka ? Yaani familia zetu zipate tabu kisa wajinga kama nyie..Tunaipongeza serikaliUnakataza vipi wayu kufuatilia mambo yanayogusa maisha yao? Hukwo ni kunyima watu haki yao ya msingi, kama unajitambua usirudie kuandika ujinga namna hii!!