Borntkkasu
Member
- Feb 22, 2019
- 68
- 51
Ukilala kwenye daladala tunakupima ukimwi ukiamka tunakupa majibu yako…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mna roho mbaya! hata comment moja wajemeni?
Mkuu mbona kujitetea sanaUnaelewa sababu zinazotokana na mtu kulala kwenye daladala. moja huenda alikesha na mumewe au mkewe, pili huenda kiwango cha sukari ni kingi, tatu huenda alifanya kazi usiku kucha kazini kwake, nne huenda amechoka sana kwa kazi aliyoifanya jana au muda uliopita. sasa kuwachoma sindano ili uwapime ukimwi sio ustarabu hajapenda alale kwanini usimpime akiwa anakuona