TANGAZO !TANGAZO! TANGAZO!

Borntkkasu

Member
Joined
Feb 22, 2019
Posts
68
Reaction score
51
Ukilala kwenye daladala tunakupima ukimwi ukiamka tunakupa majibu yako…
 
Unaelewa sababu zinazotokana na mtu kulala kwenye daladala. moja huenda alikesha na mumewe au mkewe, pili huenda kiwango cha sukari ni kingi, tatu huenda alifanya kazi usiku kucha kazini kwake, nne huenda amechoka sana kwa kazi aliyoifanya jana au muda uliopita. sasa kuwachoma sindano ili uwapime ukimwi sio ustarabu hajapenda alale kwanini usimpime akiwa anakuona
 
Mkuu mbona kujitetea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…