Tangazo tangazo

mimi siendi kwani mwanaume ni kichwa cha nyumba....wewe dogo unajiharibia hahahaaa !1 lazima mke akukimbie
 
Mwanamke kuhudumiwa bwana! msiandamane mtatuharibia wengine
 
Natangaza maandamano ya nchi nzima kwa
wamaume wote ambao wamechoshwa na kufanywa
kama ATM machine na wapenzi wao

Ha ha ha..... Mnaandamana nini??? Toka lini ATM ilitoa pesa bila password... Dawa ni ndogo tu... hutaki kua ATM usitangaze brand yako wala usitoe namba yako ya siri.....
 
Mhmm sijawai kuchunwa labda ina raha yake!
 
mimi siendi kwani mwanaume ni kichwa cha nyumba....wewe dogo unajiharibia hahahaaa !1 lazima mke akukimbie
haaa,kuwa kichwa cha nyumba na kuwa ATM ni vitu viwili tofauti,..
kwanini hela zao ni zao,zetu pia ni zao haaa
 
Sasa sisi akina bushoke simnataka tufungiwe vio??Wengi ukizikamata mamsapu ndo anakupangia matumizi!
 
ha ha ha..... Mnaandamana nini??? Toka lini atm ilitoa pesa bila password... Dawa ni ndogo tu... Hutaki kua atm usitangaze brand yako wala usitoe namba yako ya siri.....

nakuomba fafanua plse umetumia lugha ngumu sana sio rahisi kueleweka , tusaidie tujue nini unamaanisha!
 
Hahahahahahahah lol
Dahhhhh..
Na mi ntajiunga na nyie mmhh
 
Mi siandamani, naharibu network ili isitoe pesa. Ah, password wanayo.
 
nakuomba fafanua plse umetumia lugha ngumu sana sio rahisi kueleweka , tusaidie tujue nini unamaanisha!

I have something to attend to .... Sorry... Will definitely be back for your answer....
 
Sasa sisi akina bushoke simnataka tufungiwe vio??Wengi ukizikamata mamsapu ndo anakupangia matumizi!

tunaunda na umoja wa wababa Tanganyika kwa ajili ya
kutetea ma-bushoke kama wewe usiogope,
umoja huo utafunguliwa hiyo siku ya maandamano,..
 
Mhmm sijawai kuchunwa labda ina raha yake!

unadhani waoachunwa wanajua kama wanachunwa ni watu wa nje mimacho inawatoka. Defintion ya love ikibadilika nakuwa hate au baada ya kibuti na wewe unaweza kugundua kuwa ulikuwa unachunwa
 
nakuomba fafanua plse umetumia lugha ngumu sana sio rahisi kueleweka , tusaidie tujue nini unamaanisha!

Ngoswe maana yangu ilikua kwamba a guy anaenda na akili yake timamu kujitoa/kumtokea mdada anakua level hivyo kuonesha wazi kuwa huyo mdada as much as wanaanza kutoka na jamaa - Limit ya huyo jamaa ni hii; level hutofautiana tokana na uwezo wa kila mmoja au willingness ya wapi ataishia na huyo mwanamke. But kama unamtokea binti ikiwa kichwa chako hakiko level (yani junior) ana ku control then huwezi onesha msimamo wako vizuri hivyo kutomuonesha binti which line she is allowed to cross...

Wadada wanawasoma bwana zao - kua huyu wa kumwendesha, huyu inabidi niwe careful, huyu si lolote etc... Jinsi unavyo ji-present ndo jinsi atakavyokuchukulia.... And please kwa wale ambao huishia kuchunwa - Be careful na aina ya ladies wanaokuvutia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…