TANGAZO: Tuna-REPAIR toothpicks(stiki), pamba za masikio, na nyembe zilizoharibika.

TANGAZO: Tuna-REPAIR toothpicks(stiki), pamba za masikio, na nyembe zilizoharibika.

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Mwenye kuhitaji huduma za vifaa tajwa hapo juu atucheki, tupo Buguruni Malapa (DSM) pale pale kituo cha daladala, ukitokea Buguruni sokoni ni upande wa kulia.
Bei zetu ni nafuu kabisa!
santeni na karibuni!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tooth sticks zina haribikaje? Au unazungumzia used? Kwahiyo mnazisafisha tena au? Ikifunjika mnaweka glue?

Pamba za masikio?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] used mnaziosha na Hydrogen Peroxide?

Umenipoteza sana. Ila hongera kwa biashara yako, tunaelekea Tanzania ya vi-wonder.

-callmeGhost
 
Nielekeze vizuri nimeshafika,niko hapa kituo cha dalaladala karibu na duka la spea za magari..
 
Karibuni na Kibiti biashara italipa sana huku uhitaji wa bidhaa hiyo ni mkubwa hatukujua kuwa repair inawezekana.Karibuni sana
 
Back
Top Bottom