Hivi Zari huwa anaongea nini pale?Nilijua ni mimi tu, La Deile Jipu Wameboronga.
loh mkaka kapodolewa kama mdada!mhhh!Nakumbuka tu tangazo nisilo lipenda nilile la "chips snack za mtoto"
Au la chuo cha Zayoni..[emoji4]m napenda lile la kilimanjari institute of technology yan dah........
chai jaba ni nzuriiii, huhuuuu yenye nguvu,na hudumu maisha yoteeeeeee..chai jabaaaaaa...... daaaah tangazo la kitambo sana hiloooBinafsi kwa sasa napenda tangazo moja la vodacom ongea deilee sijui wewe ni lipi na ambalo silipendi ni la coca cola
Joti anatangaza mtandao wa tigo, sio Voda. Itakuwa umechanganya na Mpoki (anaeshirikiana na Zari na Diamond katika tangazo la ongea deile)Joti na ongea deilee
Kumbe na wewe kanakuchefua? Ngoja niongee na Zembwela wakabadilishemi sio tangazo bt ni kale kakipande ka east afrika tv ka bajaji inatembea then inageuka inakua mtu then wanamalizia na logo yao, jaman kananichefu, nimekachoka, afu kanakua na sauti kubwa kuliko kawaida. wabadilishe.