Tangazo unalolipenda

Au la chuo cha Zayoni..[emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] nikiliona namute
 
mi sio tangazo bt ni kale kakipande ka east afrika tv ka bajaji inatembea then inageuka inakua mtu then wanamalizia na logo yao, jaman kananichefu, nimekachoka, afu kanakua na sauti kubwa kuliko kawaida. wabadilishe.
Kamezeeka
 
Napenda tangazo lile la Nyati cement wanavyoboa nyumba had mlima unaporomoka wanakimbilia kwenye nyumba ileile tena wanayoibomoa huwa nacheka kabisaa hasa enginea anaposema leta bodoza vunja kabisa...
Na jingine la Airtel fursa tangazo zuri sana natamani niyapate niyaweke kwenye pc & cm yangu...
 
Tangazo bora kuliko yote ni la Haki Elimu, linanza kumuonesha mwalimu akifunga mlango wa nyumba mbavu za mbwa,kisha anakatiza kimtaro na kufika shuleni huku majengo yanauliza nikudondokee au nikusamehe.
Hili tangazo la kuhuzunisha sana lakini huwa nacheka sana ile staili dawati lilivyoanguka na wale watoto...yn pamoja na kwamba walikuwa wanaigiza ila wamecheza uhalisia sana
 
chai jaba ni nzuriiii, huhuuuu yenye nguvu,na hudumu maisha yoteeeeeee..chai jabaaaaaa...... daaaah tangazo la kitambo sana hilooo
Chai jaba miaka hiyo lilitisha sana yan lilifunika
Hivi hayo majani ya chai yapoga bado
 
Hili tangazo la kuhuzunisha sana lakini huwa nacheka sana ile staili dawati lilivyoanguka na wale watoto...yn pamoja na kwamba walikuwa wanaigiza ila wamecheza uhalisia sana
Kweli, sichoki kulitazama lile tangazo. Linauhalisia mkubwa mno na utafikiri watoto hawakuandaliwa.
 
TBC kipindi cha ze comed mwanzoni pale nilikuwa nasikia kama wanasema ashakum si matusi """watoto kumamaeee....."'
 
ULEVI NOMA yale niliyapensa sana, kama lile moja mkwilima kalewa amerud nyumbn anagonga chumba cha mama mkwe wake anauliza hiki ndo chumba namba.....
 
Tangazo la tigo hakuna kukwama kwama jamaa mwnye kwikwi na yule mchaga, alf kuna la Samatta tena yamefanana
 
Mi nililipenda lile la TIGO,domdomdom,DO hahah,ebweenae hee?DO.lilikuwa na muonekano mzuri sana.
 
Viberiti bora, vya kangaroo....
Hahaa wengi humu hamlijui, enzi hizooo...
 
NIWE MKWEL LA MSUMBUKO LINANKOSHA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…