Tangazo unalolipenda

Kwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2016
Posts
455
Reaction score
562
Binafsi nalipenda tangazo la voda ongea deilee na ambalo sipendi ni la coca cola.
Upande wako je?
 
Huyu Mondi ni Simba haswa....Tangazo zuri kiukweli!
 
Tigo ndo best
Kata wewe bebi
Ah kata wewe bwana
 
Hiv TIG
Binafsi nalipenda tangazo la voda ongea deilee na ambalo sipendi ni la coca cola.
Upande wako je?
Itakuwa poa sana tigo wakimfanya kiba balozi wao ili tuone team tigo na voda
 
"Kabla ya show lazima nifanye salaa
Kisha napigia marafiki kuweka Upendo imaraa
Nampigia mwanangu, Latty lalaaa"
Vodacom Ongea Deilee

Jana kidoooogo nirequest kwenye radio nikakumbuka kumbe ni tangazo sio wimbo...
 
kwa sasa nalikubali tangazo la coca hasa pale mwisho anapompa jamaa soda then anapiga funda moja kisha lile smile dah!

ila tangazo bora la siku zote ni la voda kutoka kwa kijana tony touch, "mbona umetuma elfu mbili tu baby?"
 
Kuna hili moja jamaa katengeneza group la MaEx wake whatsapp
Kawaweka wote aliowapitiaga eti wakumbushiane mazuri waliofanyiana.
Sijui ni la tigo lile.
...yeah'man!.bonge moja la tangazo,hata mi nimelielewa!
 
Kuna tangazo moja alifanya AY miaka ya nyuma la Voda ile ngoma sijui alipika majani?bit ilikuwa namzuka utafikiri single!mwenye audio yake atusikilishie tafadhali!
 
share hisia n coca cola na lile la ongea deileee
 
Mama mpiji chuzi lote limenimwagikia.
Kwa nini ulipe kingi wakati unatumia kidogo?hilo lilikuwa tangazo la Vodacom wakati tumeanza kulipa kwa sekunde.Ingawa watu wasio wastaarabu kitaa wakabadilisha kuwa kwanini uwe na demu bonge wakati sehemu unayo enda kudili nayo ni ndogo hata robo kilo haifiki.
 
tangazo la malaria, yule dk mzee anafanana kama dr silaa
 
Mambo mambo kwa soksi, dule hilo kwa soksi, ukilipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…