Ha ha ha! Haiji tokea chini ya mbingu!Jumapili kutakuwa na ibada moja
na hakutakuwa na sadaka
Aseeeh sio bongo hiiJumapili kutakuwa na ibada moja
na hakutakuwa na sadaka
Waumini hawakulia machozi kweli?Hiyo kitu niliiona kwa mchungaji mmoja tu Arusha jina nimelisahau, yeye alitimua waumini wote kanisani na akasema waende na sadaka zao nyumban
Na video ya huyo mchungaji hii hapa [emoji116]Jumapili kutakuwa na ibada moja
na hakutakuwa na sadaka