TANGAZO! viwanja vinauzwa Nara Dodoma

Sheriff Hood

Member
Joined
May 3, 2018
Posts
82
Reaction score
124
Viwanja hivi vimeshapimwa na vina bikoni vipo Jijini Dodoma, wilaya ya Dodoma mjini kata ya Nara karibu kabisa na barabara ya Mwanza
Vina ukubwa kama ifuatavyo

25 x 30 = Tshs 3,500,000
25x56= Tsh 4,000,000
35x75= Tshs 5,000,000

Vipo vingine vyenye ukubwa tofautitofauti (Angalia ramani hapo chini

Kwa maelezo zaidi nicheki Pm
 
Tatzo la Dodoma kumepauka sana na huko nala aisee ni vichaka tupu na vumbi jingi sn. Vp Mamlaka ya Jiji inampango wowote wa kushughulikia tatzo la ujangwa huko mkuu?
 

Mkuu hivi viwanja bado vinapatikana? Nilitaka hiki hapa 35x75= Tshs 5,000,000
 
Tatzo la Dodoma kumepauka sana na huko nala aisee ni vichaka tupu na vumbi jingi sn. Vp Mamlaka ya Jiji inampango wowote wa kushughulikia tatzo la ujangwa huko mkuu?
Ndio wanao mpango
01.kila anayejenga anatakiwa kupanda miti kadhaa,ni sheria kabisa
02.kuna programme ya mama samia suluhu ya kijanisha dodoma inaendelea kutekelezwa kqa kupanda miti sehemu tofaut na kuitunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…