Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Japo vijana wa town tunaita kiduki lkn ndio kina nipendeza zaidi kuliko mwanzo nilivyokuwa nanyoa kawaida, nilijaribu kurudi kunyoa kawaida kila MTU alinishangaa na kuniambia sijapendeza kama nikinyoa pack!
24hours nahakikisha nywele ni safi nyeusi na za kuvutia japo shemela wenu hapendi kuniona navuga nywele lkn bado nakomaa nazo!
Wewe mdau unanyoa style gani?
24hours nahakikisha nywele ni safi nyeusi na za kuvutia japo shemela wenu hapendi kuniona navuga nywele lkn bado nakomaa nazo!
Wewe mdau unanyoa style gani?