Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,084
Wandugu,

Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.

Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.

Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.

NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.
 

mshana jr isijekuwa wewe ndiye kaka scorpion!
 
Nadhani ana udhuru tu na wala kutoonekana kwake hakuna uhusiano na kukamatwa kwa huyo baradhuli. Yuko busy msata anafanya "

CC: mshana jr

mambo yake".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…