Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Mshana jr yuko Mbeya Day anafuatilia tukio la Mwalimu Frank Msigwa kumdunda mwanafunzi kama lina uhusiano wowote na nguvu za giza au ni vipi
 
Scorpion hawezi kuwa Mshana Jr kwasababu zifuatazo:-
1.Scorpion uwezo wake wa kufikilia ni mdogo sana kama anavizia watu na kuwatoboa macho ili apate mia mbili wakati Mshana Jr anauwezo wa kuliongelea jambo la kesho siku ya leo na kesho ikifika tunashangaa kama alipotoa thread yake ya MUMIANI kama ingesemwa vizuri watafiti wasinge uwawa kule Dodoma hapa najaribu kuonyesha uwezo wa Mshana Jr ukilinganisha na Scorpion.
2.Mshana Jr ukichunguza thread zake zote ni za maendeleo sio za kukatisha tamaa kama afanyavyo Scorpion anawatoa watu macho ili wakwame kimaisha.
3.Mshana Jr anapesa ya bando na anaonekana ni mtafiti ndio maana anapotoa thread yake lazima aweke justification ya ku support thread yake uwezo huu watu wengi humu hawana mpaka wewe mtoa mada hauja support thread yako, Scorpion hana uwezo wa kuandika kama Mshana Jr lazima uwe na ka elimu kuhusu mambo mengi anayoandika Mshana Jr.
 
Kweli vimbola vya Mshana jr.vinafanya kazi,yaani amekuwa famous kuliko hata marehemu Kanumba
 
mshana jr jitokeze, au tuma muwakilishi atupe habari yaliyokusibu, kama wewe ndiye scorpion basi tutakuchangia hela za wakili ili akutetee.
 
Hhahahahhahaa Ni mzima wa afya, ile picha unayoiona kwenye Profile yake ndio yeye mwenyewe. Je anafanana na Scorpion??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…