Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli.

Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA SERIKALI YAKO.

Mbaya zaidi wananchi hawataarifiwi ipasavyo kuhusu Muda wa katikakatika ya umeme na sababu.
 
Haya matatizo yanaletwa na sa100 siyo Tanesco. Sa100 ana uwezo wa kuifuta taasisi yote ya Tanesco na kuunda chombo kipya cha kusimamia umeme.
 
Tena tunamkumbuka sana...maana tushavurugwa...tumechoka..hakuna taarifa yoyote...like what is going on..ni kata kata tuu...hakuna tamko lolote....
 
Back
Top Bottom