Tangu bank card transactions zianze hatuokoti noti sikuhizi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani.

Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa.
 
Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
hizo used condom zinakumbusha ukipenda sana hela utaukwaa ukimwi
 
Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani.

Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa.
Time is moving very Fast

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Imeangushwa na muuza mboga kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom